El Papa Francisco bendice la primera piedra del Seminario Redemptoris Mater de Dar es Salaam
El Papa Francisco saluda al rector del Seminario Redemptoris Mater de Dar es Salaam antes de bendecir la primera piedra

Baba Mtakatifu Fransisko akibariki jiwe la msingi la Seminari Redemptoris Mater ya Dar es Salaam Roma (Italy), tarehe 7/6/2017.

Nyumba ya malezi ya mapadri kwa ajili ya Uinjilishaji Mpya

Miaka kumi baada ya kuweka rasmi Seminari, Jimbo Kuu la Dar es Salaam limetoa kiwanja linaloufaa ujenzi wa nyumba ya malezi, katika kata ya Mbagala-Kijichi, mjini Dar es Salaam. Kwa sasa, [mradhi umechorwa draft], na tupo kwenye muhula wa kukusanya fedha ili kuanza kazi za ujenzi mapema Mungu atakavyotujalia.

2007Februari
Card. Polycarp Pengo con Kiko Argüello

Kad. Polycarp Pengo, Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, [aweka] rasmi Seminari

2016Oktoba
Kiwanja SRM

Jimbo Kuu la Dar es Salaam aitolea Seminari kiwanja kwa ajili ya ujenzi

Oktoba
Kiwanja kwa ajili ya Seminari mpya

Kiwanja chabarikiwa na mradhi wa ujenzi waanza

Disemba
3-D model

Msanifu majengo atembelea kiwanja na [anachora ramani]

2017Juni
Papa Fransisko akibariki jiwe la msingi

Baba Mtakatifu Fransisko abariki jiwe la msingi la Seminari

2018
Fundraising

Kukusanya fedha kwa njia ya Chakula cha Hisani na maazimio ya kuchangia.

2019Mei
Engineering

Kumalizia kazi za uhandisi na kupata kibali cha ujenzi.

Seminari mpya itakuwaje?

 • Kanisa

  Kwa kuadhimisha Ekaristi na ibada za kila siku.

 • Madhabahu ya Neno

  Kwa mfano wa yeshivaa za kiebrania, hapa tutachunguza Maandiko Matakatifu.

 • Madarasa

  Hapa walimu wazalendo na wa kimataifa watafundisha Falsafa na Teolojia.

 • Dinning Room

  Hapa tutakula pamoja na kuongeza ushirikiano.

 • Vyumba

  Nyumba itapokea waseminari 30, pamoja na walezi na ndugu katika utume.

 • Maktaba

  Itakuwa na vitabu na majarida mbalimbali ya Falsafa na Teolojia.

Modelo 3D del seminario Redemptoris Mater a construir en Dar es Salaam
Modelo 3D del futuro Seminario R.M.

“Uzuri mpya

El Papa Francisco exhortó recientemente en su mensaje a los miembros de las Pontificias Academias sobre la belleza diciendo: «es necesario que los edificios sagrados […] especialmente aquellos ubicados en ambientes periféricos y degradados, se propongan, en su simplicidad y esencialidad, como oasis de belleza, paz, acogida, favoreciendo realmente el encuentro con Dios y la comunión con nuestros hermanos y hermanas, convirtiéndose así en un punto de referencia para el crecimientos integral de todo el pueblo, para el desarrollo armónico y solidario de las comunidades».

El Santo Padre animó a «cuidar de la belleza, y la belleza curará muchas heridas que marcan los corazones y las almas de los hombres y mujeres de nuestro tiempo».

Tuwezeshe kujenga

Seminari yetu inategemezwa kwa msaada ya ninyi nyote, ambao mkijisikia kushiriki utume wetu, mnachangia hali na mali kwa ukarimu.