“Nakuja kukusanya
mataifa yote”

Nchi 12 · Mabara 4 · Roho 1

Kupitia msaada wako wa hali na mali tutaweza kuendeleza malezi ya mapresbiteri kwa ajili ya Uinjilishaji Mpya. Tunaomba mchango wako kupitia akaunti ya benki au mobile money:

Ukiwa Tanzania

 • Akaunti ya kutegemeza Seminari:

  Benki: CRDB Bank
  Akaunti ya Tzsh: 01J2094779400
  Akaunti ya US Dollar: 02J2094779400
  SWIFT code: CORUTZTZ
  Jina: Redemptoris Mater Seminary

 • Akaunti maalum ya Ujenzi wa Seminari Mpya:

  Benki: CRDB Bank
  Namba ya akaunti: 0152094779400
  Jina: Redemptoris Mater Seminary

 • M-Pesa

  0759 400 108

 • Tigo Pesa

  0658 400 102

 • Airtel Money

  0683 222 414

Ukiwa Kenya

 • M-Pesa

  +255 759 400 108
  Unaweza kutumia mchango wako kutoka M-Pesa yako (Safaricom) kwenda M-Pesa yetu ya Tanzania. Kwa maelezo na taarifa ya makato, tembelea mtandao wa Safaricom.

Uwasiliane na sisi

Ukiwa na swali lolote kuhusu namna ya kuchangia, unaweza kutumia e-mail kwenda srmtanzania@gmail.com au kutuandikia hapa hivi: