June 5, 2022June 5, 2022 Admissio ad ordines Leo imeadhimishwa kwa furaha kubwa Ibada ya Admissio ya ndugu zetu 2 waseminari, Himki Perez na Matheus Craveiro, katika Ekaristi iliyoongozwa na Askofu Msaldizi Henry MChamunguHeri ya Pentekoste! na asante sana kwa sala zenu kwetu!