Admissio ad ordines

Leo imeadhimishwa kwa furaha kubwa Ibada ya Admissio ya ndugu zetu 2 waseminari, Himki Perez na Matheus Craveiro, katika Ekaristi iliyoongozwa na Askofu Msaldizi Henry MChamungu

Heri ya Pentekoste! na asante sana kwa sala zenu kwetu!